Washiriki wanaofaulu mtihani wa mwisho watapokea Cheti cha Kidigitali cha Serve Salama baada ya malipo ya 25,000 TSH kuthibitishwa.
Cheti kitakuwa halali kwa muda wa miaka 2 kuanzia tarehe ya kutolewa.
Kina nambari ya kipekee na QR code ya uthibitisho.
Kinatolewa kidigitali kupitia barua pepe na kinaweza kupakuliwa au kuchapishwa.
Kamilisha kozi na ufaulu mtihani wa mwisho.
Fanya malipo kwa kutumia Lipa namba itakayotumwa kwenye barua pepe yako kupitia Lipa na M-Pesa, au ulipe kwa kadi, benki, au mitandao mingine ya simu.
Tuma uthibitisho wa malipo (picha ya skrini au ujumbe wa uthibitisho wa muamala) kwenda info@servesalama.org
Utapokea Cheti chako cha Kidigitali kupitia barua pepe ndani ya masaa 24 baada ya malipo kuthibitishwa.
Uthibitisho wa Cheti
Kwa uthibitisho wa cheti, skanisha QR code ilyopo kwenye cheti. Kwa msaada zaidi wasiliana nasi kupitia: info@servesalama.org
Mfano wa Cheti cha Kidigitali cha Serve Salama ⬇️